Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Wow,..ww ndio mangi buanaa[emoji4][emoji4]udugu si kufafana,udugu ni kusaidiana,.
Ungekuwa ukiongea na mimi vema, Hakika tungefika mbali sana kwa kufanyiana ujirani na uungwana wa kiwango chema.
Nisingesita kufanya mengi mazuri .
Basi tu ndo hivo hatufahamiani.