Ingekuwa vizuri sana polisi,TIS na JWTZ waanze ku deal na hawa Green Guard

Ingekuwa vizuri sana polisi,TIS na JWTZ waanze ku deal na hawa Green Guard

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
TUNAO USHAIDI WA PICHA KUWA CHAMA TAWALA KINA KIKUNDI CHA WAASI AMBAO WANAITWA GREEN GUARD,KAMA KWELI VYOMBO VYA ULINZI YAANI, POLISI,TIS NA JWTZ NI WAWAJIBIKAJI TUNAOMBA MTUPE MAELEKEZO YA KINA GREEN GUARD IMEANZISHWA KATIKA KIPENGELE GANI CHA SHERIA NA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO?NINGEFURAHI SANA MNGENIAMBIA HIKO KIFUNGU ILI MNITOE TONGOTONGO MWENZENU,KUSHINDWA KWENU KUNIPA MAJIBU SAHIHI BASI HAYA YOTE NILIYOYAANDIKA KWENYE HUU UZI NI UKWELI MTUPU
hizi ni baadhi tu ya picha lukuki vijana hawa tena umri mdogo kabisa wakipata mafunzo ya kijeshi na bunduki kama mnavyowaona tena nathubutu kusema ILO wako wapi hii ni child labour ,sawa tu na waasi wa kule sudan au LRA
1001654_10201506223559753_1267641986_n.jpg

1072649_10201506231119942_1635550313_o.jpg
 
Bado sijaelewa kwanini inaonekana chadema kuwa ni wakosaji na kuonekana kuwa hawaitakii mema nchi yetu na amani tuliyonayo kisa tu wametoa tamko la kuanzisha guard itakayo linda usalama wao pamoja na wanachama wake,wakati huohuo chama tawala kipo na mfumo kama huo wa ulinzi na hakionekani kuwa ni source ya kuhatarisha amani nchini:

''HAKIKA KWELI NYANI HAONI KUNDULE'[FONT=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]'[/FONT]
 
wa deal na gesi la mwigilu aka IGP wa CCM - hawajipendi?
 
Vyombo vya ulinzi ulivyovitaja navyo ni chanzo cha amani kuvurugika. Nasapoti CHADEMA iwe na ulinzi wake ili wasinyanyaswe. Yatosha sasa, kila mikutano yetu kipigo, mabomu na mapolisi sijui hao vyombo vya ulinzi wanakuwepo, sasa wa kazi gani?
 
''HAKIKA KWELI NYANI HAONI KUNDULE'[FONT=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]'[/FONT]

Ndugu Watanzania

kwanza ningependa kuwapa pole na shughuli za kujenga Taifa... kwa wale wasomaji wa hii forum mnafahamu fika nini kinachoendelea hapa nchini kwetu TANZANIA kuhusu hali ya kisiasa. Siasa za Tanzania zimekuwa sio siasa tena bali ni ya vita lakini si Vita ya maneno bali ya kutumia silaha tofauti na Vita ya kutumiasilaha tuliyozoea kusikia kwa mataifa mbalimbali kupigana baina ya pande mblili lakini kwetu hapa Tanzania ni ya Upende mmoja. Tunafahamu fika kuwa Tanzania kuna chama cha upinzani CHADEMA,Tunajua kabla ya chadema wale wa CUF na NCCR-Mageuzi walishakumbana na hii hali lakni sasa hivi inaonekana ni zamu ya CDM. Kwa bahati mbaya sana kwa CHADEMA wamechelewa sana kukizuia au kukidhohofisha maana inaonekana kiko ndani ya mioyo ya watanzania.

Hivi karibuni CDM wametoa Tamko wa kuunda kikundi cha ukakamavu lakini cha kushangaza POLIS na baadhi ya Viongozi wa CCM wamekuwa wakipinga juu ya uwamuzi wa kamati kuu, lakin kwangu binafsi sioni walipokosea ata kidogo... sitaki kuongea sana nimeambatanisha hii picha hapo chini iliyochukuliwa kwenye kwenye kambi ya CCM.

Nawaomba viongozi wa CHADEMA waandae Documentary inaonyesha hali halishi ya kisiasa Tanzania na isambazwe kwenye nchi zenye democrasia ya kweli kwa vyama vya upinzani na vyama tawala ili nawao wajue unafiki wa demokrasia ya Tanzania. KIKOSI CHA CCM.jpg
 
Haya manyinyiemu yanaangaika sana na kutapatapa, alafu hata mkulu wa kaya naye hanajidai hayajui haya,hata picha haioni jamani???
 
''hakika kweli nyani haoni kundule''

ndugu watanzania

kwanza ningependa kuwapa pole na shughuli za kujenga taifa... Kwa wale wasomaji wa hii forum mnafahamu fika nini kinachoendelea hapa nchini kwetu tanzania kuhusu hali ya kisiasa. Siasa za tanzania zimekuwa sio siasa tena bali ni ya vita lakini si vita ya maneno bali ya kutumia silaha tofauti na vita ya kutumiasilaha tuliyozoea kusikia kwa mataifa mbalimbali kupigana baina ya pande mblili lakini kwetu hapa tanzania ni ya upende mmoja. Tunafahamu fika kuwa tanzania kuna chama cha upinzani chadema,tunajua kabla ya chadema wale wa cuf na nccr-mageuzi walishakumbana na hii hali lakni sasa hivi inaonekana ni zamu ya cdm. Kwa bahati mbaya sana kwa chadema wamechelewa sana kukizuia au kukidhohofisha maana inaonekana kiko ndani ya mioyo ya watanzania.

Hivi karibuni cdm wametoa tamko wa kuunda kikundi cha ukakamavu lakini cha kushangaza polis na baadhi ya viongozi wa ccm wamekuwa wakipinga juu ya uwamuzi wa kamati kuu, lakin kwangu binafsi sioni walipokosea ata kidogo... Sitaki kuongea sana nimeambatanisha hii picha hapo chini iliyochukuliwa kwenye kwenye kambi ya ccm.

Nawaomba viongozi wa chadema waandae documentary inaonyesha hali halishi ya kisiasa tanzania na isambazwe kwenye nchi zenye democrasia ya kweli kwa vyama vya upinzani na vyama tawala ili nawao wajue unafiki wa demokrasia ya tanzania. View attachment 101785

kwenye nyekundu huwa tunaonyesha udhaifu mkubwa sana!
 
Nina hasira na CCM...yani basi tu. Mungu atusaidie hawa jamaa watoke madarakani kwa kweli. Yani wanatutesa sana watanzania.
 
Yaani sikujua Kama mkulu ni mbumbumbu kiasi hiki, aanze kuvunja kwanza green guard!
 
TUNAO USHAIDI WA PICHA KUWA CHAMA TAWALA KINA KIKUNDI CHA WAASI AMBAO WANAITWA GREEN GUARD,KAMA KWELI VYOMBO VYA ULINZI YAANI, POLISI,TIS NA JWTZ NI WAWAJIBIKAJI TUNAOMBA MTUPE MAELEKEZO YA KINA GREEN GUARD IMEANZISHWA KATIKA KIPENGELE GANI CHA SHERIA NA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO?NINGEFURAHI SANA MNGENIAMBIA HIKO KIFUNGU ILI MNITOE TONGOTONGO MWENZENU,KUSHINDWA KWENU KUNIPA MAJIBU SAHIHI BASI HAYA YOTE NILIYOYAANDIKA KWENYE HUU UZI NI UKWELI MTUPU
hizi ni baadhi tu ya picha lukuki vijana hawa tena umri mdogo kabisa wakipata mafunzo ya kijeshi na bunduki kama mnavyowaona tena nathubutu kusema ILO wako wapi hii ni child labour ,sawa tu na waasi wa kule sudan au LRA
1001654_10201506223559753_1267641986_n.jpg

1072649_10201506231119942_1635550313_o.jpg

This is a cheap defensive mechanism.
 
Back
Top Bottom