mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
TUNAO USHAIDI WA PICHA KUWA CHAMA TAWALA KINA KIKUNDI CHA WAASI AMBAO WANAITWA GREEN GUARD,KAMA KWELI VYOMBO VYA ULINZI YAANI, POLISI,TIS NA JWTZ NI WAWAJIBIKAJI TUNAOMBA MTUPE MAELEKEZO YA KINA GREEN GUARD IMEANZISHWA KATIKA KIPENGELE GANI CHA SHERIA NA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO?NINGEFURAHI SANA MNGENIAMBIA HIKO KIFUNGU ILI MNITOE TONGOTONGO MWENZENU,KUSHINDWA KWENU KUNIPA MAJIBU SAHIHI BASI HAYA YOTE NILIYOYAANDIKA KWENYE HUU UZI NI UKWELI MTUPU
hizi ni baadhi tu ya picha lukuki vijana hawa tena umri mdogo kabisa wakipata mafunzo ya kijeshi na bunduki kama mnavyowaona tena nathubutu kusema ILO wako wapi hii ni child labour ,sawa tu na waasi wa kule sudan au LRA