Ingekuwa wanaume wa Dar ndo walipigania uhuru hadi sasa Watanzania tungekuwa watumwa

kumbe wanaume wa mikoani ndo mlituletea uhuru!!, mambo gani hayo yakuharakia uhuru wakat hamkuwa mmejipanga? ona sasa! saiz tungekuwa kama South Africa, kma wanaume wa dar ndo wangeachiwa mzigo
 
[emoji23] [emoji23] Aisee wanaume wa dar wanaweza kukuteka mkuu kuwa makini [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Bora umenena. Uhuru walipigania watanzania wote bila kujali watokako.
 
Aibu naona mimi. Kwani kina Abdul Sykes walikuwa Wanaume Wa Wapi?! Nasikitika vijana mmekaririshwa uhuru ulipiganiwa na Nyerere tu as if it was One Man Show. Poor You kizazi cha Instagram.
Bado hujaweka wakina Mzee Tambaza, hawa wanaojiita wanaume wa mikoani ndio wanacharazwa viboko na wachina
 
Huku Iringa asubuhi mwanaume anaenda kilabuni Kupiga KANDE CHAPATI halafu taputapu kama anatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…