monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] Aisee wanaume wa dar wanaweza kukuteka mkuu kuwa makini [emoji81] [emoji81] [emoji81]INGEKUWA WANAUME WA DAR NDO WALIPIGANIA UHURU HADI SASA WATZ TUNGEKUWA WATUMWA
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR Wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap,
mfano we mwanaume: Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni ninogeshe" ya nandy, we ni mwanaume wa Dar
Uko Arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringari, wewe ni mwanaume wa Dar
Unakaa Mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
Uko Iringa ila Unachat kwa kuandika "x" badala ya "s", Imao, lol, wewe ni wa Mwanaume wa Daslam&
Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James Delicious na Hayati Kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar
tena Uwanja wa Fisi wewe ni mwanaume wa Dar ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar wewe ni mwanaume wa Dar Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, mwanaume wa Dar
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure[emoji4][emoji4] pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)
3.Usiku-Mchemsho wa maini[emoji13][emoji13]. Halafu anakazia na castle light au redbul
RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI
1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......
2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......
3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia fanta au pepsi, ....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!
Sasa hapo angalia tofauti.
Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar!
Mana huko hawapati wanachostaili....
Niwape siri huyo akikutana na EX wake wa mkoa mwenye ratiba kama hiyo anakuona wewe kama mdada mwenzie.......
HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna waganga wa hivyo.
"Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"
Am done!
HahahaaWanaume wa dar katika ubora wao[emoji18] View attachment 898304
Bora umenena. Uhuru walipigania watanzania wote bila kujali watokako.INGEKUWA WANAUME WA DAR NDO WALIPIGANIA UHURU HADI SASA WATZ TUNGEKUWA WATUMWA

Bado hujaweka wakina Mzee Tambaza, hawa wanaojiita wanaume wa mikoani ndio wanacharazwa viboko na wachinaAibu naona mimi. Kwani kina Abdul Sykes walikuwa Wanaume Wa Wapi?! Nasikitika vijana mmekaririshwa uhuru ulipiganiwa na Nyerere tu as if it was One Man Show. Poor You kizazi cha Instagram.