je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Moja kwa moja kwenye kiini.
Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo anaonekana kijana ila ni old school na pia alichelewa kuoa kutokana maisha yalimchelewesha. Ana mtoto wa darasa la kwanza .! Jamaa simu yake inasema baada ya salamu .
Ebhana nina changamoto moja hapa , ebhana mke wangu kaniambia aliekuwa jiran yetu ana mtongoza mke wangu !! Dah hii habar ilinisikitisha sana sikuamini mana wake zao ni mashoga wakubwa wakupiga stories na kucheka kwa sauti.
Jamaa mke wake alietongozwa yeye huwa anatoka saa tatu asubuhi na kurudi saa nne au sa tatu usiku
Huyu aliepiga mistari kwa mke wa mtu huwa anashinda nyumbani kila siku mana yeye ni mtu wa msimu ,korosho anaenda shamba akivuna anapata hela zake anatumia hadi msimu mwingine na ufuta pia vile vile.
SASA KATIKA MAONGEZI YA JAMAA AKASEMA MIMI HAPA NATAKA SIKU NACHUKUA MAJIRANI WAWILI TUNAENDA KWAKE AKIWA MKEWE YUPO NAMWAMBIA MBELE YA MASHAHIDI KUWA KAMA WW UMEONA MKE WANGU MIMI NI MZURI MPAKA UNAMTONGOZA BASI MIMI NAOMBA MKEO NIKAISHI NAE WW BAKI NA WAKWANGU.!!! HICHO NDICHO NLICHOPANGA KUKIFANYA JE WW UNASEMAJE? MIMI NIKAMWAMBIA TUTAONGEA.!!!
JE INGELIKUWA WW UNGEMSHAURI AFANYE NINI JAMAAA??