mischa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 368
- 177
Nimeikumbuka hii miezi kadhaa iliyopita kabla ya fastjet kuwepo nilipata shuhudia tukio flan nikiwa kwenye safari moja pale mwanza,basi nikiwa nimemaliza semina ya cku6 kule mwanza nikawa pale airport nasubiria reporting time maana ndege yetu ilikuwa ya mwisho,akaja mama mmoja anatoa kilio kizito pembeni akiwa na mwanaume katika kudodosa ikasemekana yule mwanamama katokea daslam kaenda kula maraha na bwanake kule mwanza akiwa na nia jion arudi dar maana yy ni mume wa mtu sasa akachelewa kwa yule bwana na ndege zikawa zimejaa,je ingekuwa ww ungefanyaje?