Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Ingekuwa wewe ungefanyaje?

mischa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
368
Reaction score
177
Nimeikumbuka hii miezi kadhaa iliyopita kabla ya fastjet kuwepo nilipata shuhudia tukio flan nikiwa kwenye safari moja pale mwanza,basi nikiwa nimemaliza semina ya cku6 kule mwanza nikawa pale airport nasubiria reporting time maana ndege yetu ilikuwa ya mwisho,akaja mama mmoja anatoa kilio kizito pembeni akiwa na mwanaume katika kudodosa ikasemekana yule mwanamama katokea daslam kaenda kula maraha na bwanake kule mwanza akiwa na nia jion arudi dar maana yy ni mume wa mtu sasa akachelewa kwa yule bwana na ndege zikawa zimejaa,je ingekuwa ww ungefanyaje?
 
nimeikumbuka hii miezi kadhaa iliyopita kabla ya fastjet kuwepo nilipata shuhudia tukio flan nikiwa kwenye safari moja pale mwanza,basi nikiwa nimemaliza semina ya cku6 kule mwanza nikawa pale airport nasubiria reporting time maana ndege yetu ilikuwa ya mwisho,akaja mama mmoja anatoa kilio kizito pembeni akiwa na mwanaume katika kudodosa ikasemekana yule mwanamama katokea daslam kaenda kula maraha na bwanake kule mwanza akiwa na nia jion arudi dar maana yy ni mume wa mtu sasa akachelewa kwa yule bwana na ndege zikawa zimejaa,je ingekuwa ww ungefanyaje?

sijakuelewa kwa kweli.
 
Naona umejichanganya kidogo hebu edit hii hadithi aliyo kufundisha shangazi.
 
Sasa nadhani hili swali lako ni mahsusi kwa wanawake, tena wale walioolewa na wanacheat...
Siye wa kiumeni ngoja tukae pembeni tu...
 
Sasa nadhani hili swali lako ni mahsusi kwa wanawake, tena wale walioolewa na wanacheat...
Siye wa kiumeni ngoja tukae pembeni tu...

Kwa hiyo angepanda Najimunisa sio?
 
Angeanza kutembea kwa mguu apunguze safari badala ya kujiliza airport.
Sasa, what does this story have to do with fastjet na huyo.bwana kuwa mume wa mtu?
 
Haitawezekana coz mm sio mzinzi kama huyo mama natosheka na afadhali,usirudie tena kuwe makorokocho kama hayo,
 
ukiwa mwanamke utatupa maoni yako kiwa ungefanyaje

DUH hii kali sana haya bana,ila me nilichokuwa nataka nielewe ww ukiangalia kwa mtazamo wowote ungefanyaje?
 
DUH hii kali sana haya bana,ila me nilichokuwa nataka nielewe ww ukiangalia kwa mtazamo wowote ungefanyaje?

wanandoa kusalitiana kitu kawaida sana siku hizi....ningekuwa mume wa huyo mwanamke wala isingekuwa tabu...namwambia since wapenda dushelele mbili unaonaje turudi mwanza mie na jamaa tukugegede at the same tym
 
Daah we jamaa unapenda 3some asee
 
Back
Top Bottom