nimeikumbuka hii miezi kadhaa iliyopita kabla ya fastjet kuwepo nilipata shuhudia tukio flan nikiwa kwenye safari moja pale mwanza,basi nikiwa nimemaliza semina ya cku6 kule mwanza nikawa pale airport nasubiria reporting time maana ndege yetu ilikuwa ya mwisho,akaja mama mmoja anatoa kilio kizito pembeni akiwa na mwanaume katika kudodosa ikasemekana yule mwanamama katokea daslam kaenda kula maraha na bwanake kule mwanza akiwa na nia jion arudi dar maana yy ni mume wa mtu sasa akachelewa kwa yule bwana na ndege zikawa zimejaa,je ingekuwa ww ungefanyaje?
Sasa nadhani hili swali lako ni mahsusi kwa wanawake, tena wale walioolewa na wanacheat...
Siye wa kiumeni ngoja tukae pembeni tu...
Naona we ndo unaweza sio?
Nikiwa mwanamke inakuwaje au nikiwa mwanaume kuna nn?
DUH hii kali sana haya bana,ila me nilichokuwa nataka nielewe ww ukiangalia kwa mtazamo wowote ungefanyaje?
🤣🤣huyu ata kutunga story hawezi
Daah we jamaa unapenda 3some aseewanandoa kusalitiana kitu kawaida sana siku hizi....ningekuwa mume wa huyo mwanamke wala isingekuwa tabu...namwambia since wapenda dushelele mbili unaonaje turudi mwanza mie na jamaa tukugegede at the same tym