Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Hiki kisa hakikunitokea mimi ila mtu wangu wa karibu though sio sana.
Kv aliopoa chura fulani mweupe mwenye wowowo, nadhani ni mwanafunzi wa Mlimani na kwenda naye guest house. Baada ya kujiridhisha kuvutiana appetite, Kv akamuomba mwanamke cd then wakaanza mechi. Kv akiendelea na ukunaji, wakaskia pap na kuicheki cd wakaikuta imeburst huku ubao ukiwa 0:0.
Dada poa akaanza kudai bei yake. Kv akagoma kulipia maana hakufikishwa kituoni anapoelekea. Kwenye kujibizana, mama mwenye guest ikambidi akautulize ugomvi. Baada ya kujitambulisha, Kv akampokea kwa bashasha yule mama.
"Ehee, afadhali mama umekuja, ingekuwa wewe ndiyo mimi, ungemlipa huyu dada wakati hajanikojoza hata moja ILHALI cd ni jukumu lake maana mimi ni mteja tu kwake?"🤣🤣🤣🤣
Imagine reaction ya huyo mama baada ya kuulizwa hivyo na vijana anaoweza kuwazaa wote tena kwa utuo?
Kwa wanaume, umewahi kutokewa au kushuhudia kisanga chochote kutoka Kwa dada poa?