D
AhaaaaaaHuyu mmarekani anastahili pongezi maana si kwa ustaarabu huu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza tu ingekua Tz kama hii pesa ingerudishwa!View attachment 798518
Hahahaaa. Mbere kwa mbere mpaka wapi sasa hiyo mdogo wangu?Ahaaaaaa
Hata mimi ningerara nayo mberee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Mbere kwa mbere mpaka wapi sasa hiyo mdogo wangu?
Tungeenda kuungana na bibi Zari kule Bondeni tuwe majirani.
Una watafuta wanaume wa darangekuwa mwanaume wa dar angerudisha kwa uwoga
Uoga ulimshikaAlijua watamtafuta tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahaaaaaa
Hata mimi ningerara nayo mberee...
Kwa elfu hamsini tu?Sasa Mufindi Community Bank mjichanganye mniingizie elfu hamsini kimakosa akaunti nafunga na nahama mkoa
Wangekutafuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi majuu kabisa maana huo mpunga hadi unamwagika...
HahahahhaHuenda akawa ni mdogo wake na yesu
Shem ungerudisha?Aisee
Laki moja nahama nchi.Kwa elfu hamsini tu?
Huyo anajielewa sana ndugu " alijua wazi kuwa kwa tech...iliyopo nchini humo "" asingeweza kwenda popote pale angekuwa ameshadakwa....so kaepuka kuishi kwa mashakaHuyu mmarekani anastahili pongezi maana si kwa ustaarabu huu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza tu ingekua Tz kama hii pesa ingerudishwa!View attachment 798518