hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahahaaHuenda akawa ni mdogo wake na yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaHuenda akawa ni mdogo wake na yesu
Ngoja wampe mimba ..then wamkimbie ndio atakuwa na nidhamuUna watafuta wanaume wa dar
Wangekuta nishazimalizaWangekutafuta
HahahahLaki moja nahama nchi.
Laki tano nahama Afrika.
Milioni najiendea zangu bara la Antarctica.
HahahahNgoja wampe mimba ..then wamkimbie ndio atakuwa na nidhamu
Alifanya vyema kujiongezaHuyo anajielewa sana ndugu " alijua wazi kuwa kwa tech...iliyopo nchini humo "" asingeweza kwenda popote pale angekuwa ameshadakwa....so kaepuka kuishi kwa mashaka
hahahaHuenda akawa ni mdogo wake na yesu
Kwahiyo mimi mngenitelekeza?
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Sasa Mufindi Community Bank mjichanganye mniingizie elfu hamsini kimakosa akaunti nafunga na nahama mkoa
Mfano umeingiziwa wewe 2b unaitoaje? Sasa hivi benki wako makini balaa hela kubwa ikiingia maelezo ya kina yanatakiwa.Huyu mmarekani anastahili pongezi maana si kwa ustaarabu huu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza tu ingekua Tz kama hii pesa ingerudishwa!View attachment 798518
Na ubaki tu kua mfano...maana bado sijajua zingeingizwa kwangu ningekua katika hali ganiMfano umeingiziwa wewe 2b unaitoaje? Sasa hivi benki wako makini balaa hela kubwa ikiingia maelezo ya kina yanatakiwa.
Hahaaaa. Tusingekuacha jirani tungekwenda wote.Kwahiyo mimi mngenitelekeza?
Vibaya hivyo jirani...
Ha ha ha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa Mufindi Community Bank mjichanganye mniingizie elfu hamsini kimakosa akaunti nafunga na nahama mkoa