BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
BJ,
Huyu uncle ni mtu kweli.Japokuwa ana harakati..hajasahau nafasi ya mke na heshima yake.
True kabisa,yaani mkewe hana hata chembe ya kuhisi jamaa anacheat. Nadhani pia ni kwasababu wana safari ndefu ndo kwanza wana 2 years of marriage. Ila after work uncle yupo home on time na anajali family kwenda mbele kiasi kwamba wife anaridhika na treatment ya mumewe..Ila duniani kuna vijimambo we acha tu,unaweza kuwa unakula na kipofu hujijui.
Bottom line: Alteast kujilinda na heshima vibaki ndani ya ndoa hata kama mmoja wa wanandoa amepata kipoozeo nje.
Same should apply to men.Wasipende sana kuwafuatilia wake zao.How about that?dada Belinda,
Ukitaka ndoa yako idumu kwa muda mrefu usipende kufuatilia fuatilia mambo kuhusu mmeo mwache huru mwache free tu atafanya mpaka atachoka....
dada Belinda,
Ukitaka ndoa yako idumu kwa muda mrefu usipende kufuatilia fuatilia mambo kuhusu mmeo mwache huru mwache free tu atafanya mpaka atachoka....
Same should apply to men.Wasipende sana kuwafuatilia wake zao.How about that?
i like this!akina mama have to stay put for the sake of a spotless society
Dah hilo jambo ngoja tuwaachie wenyewe wabeijing aka mewata....
...haki ya mungu vile, mwenyewe nilitumbukiza mguu, nimeuchomoa tena... nasikilizia hayo majina 'tunayobatizwa' kina mamsap wakiwa saloon na kwenye ma-kitchen parties yao π
Jamani mbona mnaacha misingi ya kudumisha ndoa...I will be back to this....
Mmenikumbusha rafiki yangu mmoja alipigiwa simu akiwa na mke wake akawa hapokei simu, halafu kaweka mlio tofauti mke akimwambia pokea hataki anasema simjui ananisumbua mke mbabe kidogo akapoke amaana alihisi kitu iweje abadilishe mlio ili akipiga amjue ni nani , akaweka loud speaker akamwambia pokea , msichana kaanza nimeshafika stand muda mrefu hupokei simu na unajua mi huku ni mgeni njo unipokee, jamaaa akajibu sawa kwa maelekezo ya mke akamwambia kampokee umlete hapa nyumbani jamaa akaenda kumpokea mke nyuma kwenye tax akamwambia ukileta ujanja nimekwambia mpeleke nyumbani wakafik msichana akaanza huyu ni nani jamaa anababaika, sasa inaonyesha huyo msichana alihaidiwa mambo mengi kwa hiyo akawa anajiamini akaanza kumpaka shost wangu, mwanaume hakupendi unajipendekeza walikuwa hawajafunga ndoa bado, amesema atakuacha anioe,shost akamchukua yule mwanaume akamfungia kwenye chumba akaanza kupambana na yule msichana akamtandika na mkanda akamaliza akachomeka pasi akampasi mapaja, akamfungulia mwanaume akamwambia mmsaidie wewe si ulimwahidi akija utanifukuza, yule msicha na akasema dada nisamehe hutakaa unione tena wala unisike katika maisha yako, tangu siku hiyo mwanaume huyo ameshika adabu na ndoa kafunga sidhani kama ana vimeo tena ( lakini kufanya haya yahitaji koyo uwe na unajiamini na uwe strong)
Mbu,
So far tumesikia majina kama ATM,BUZI, MWEKEZAJI, mengine ni yepi?
Sisi tumeitwa hadi " hili jinga"!
Shetani huwa hapendi kuona watu wanafurahia maisha ya ndoa. Hufanya kila liwezekanalo kuingiza chuki na mifarakano. Chakufanya ni kudumu katika sala, muuombe Mungu pamoja kwa kusali ama kuswali pamoja katika hali zote, kila siku iendayo kwa mola. Kusameheana na kuvumiliana ni silaha muhimu. Kupeana uhuru, ndoa isiwe ni kifungo. Na kufanya mapenzi kwa bidii na kujituma ni kiungo muhimu.
Masa
...Mungu mkubwa, bro umepatwa na nini unamlaani shetani bila kuisifia ile 'kampuni ya simu?' π
Na kufanya mapenzi kwa bidii na kujituma ni kiungo muhimu.
...ama wanawake ni wasiri, yaani hamtaki kutaja majina mengine mnayotuita huko saloon na kwenye kitchen party? tajeni tu yale mabaya mabaya hasa mnapofundwa chungu hakikai kwenye figa moja, au ukikerwa nk...π
Mmenikumbusha rafiki yangu mmoja alipigiwa simu akiwa na mke wake akawa hapokei simu, halafu kaweka mlio tofauti mke akimwambia pokea hataki anasema simjui ananisumbua mke mbabe kidogo akapoke amaana alihisi kitu iweje abadilishe mlio ili akipiga amjue ni nani , akaweka loud speaker akamwambia pokea , msichana kaanza nimeshafika stand muda mrefu hupokei simu na unajua mi huku ni mgeni njo unipokee, jamaaa akajibu sawa kwa maelekezo ya mke akamwambia kampokee umlete hapa nyumbani jamaa akaenda kumpokea mke nyuma kwenye tax akamwambia ukileta ujanja nimekwambia mpeleke nyumbani wakafik msichana akaanza huyu ni nani jamaa anababaika, sasa inaonyesha huyo msichana alihaidiwa mambo mengi kwa hiyo akawa anajiamini akaanza kumpaka shost wangu, mwanaume hakupendi unajipendekeza walikuwa hawajafunga ndoa bado, amesema atakuacha anioe,shost akamchukua yule mwanaume akamfungia kwenye chumba akaanza kupambana na yule msichana akamtandika na mkanda akamaliza akachomeka pasi akampasi mapaja, akamfungulia mwanaume akamwambia mmsaidie wewe si ulimwahidi akija utanifukuza, yule msicha na akasema dada nisamehe hutakaa unione tena wala unisike katika maisha yako, tangu siku hiyo mwanaume huyo ameshika adabu na ndoa kafunga sidhani kama ana vimeo tena ( lakini kufanya haya yahitaji koyo uwe na unajiamini na uwe strong)
Mara nyingi kitchen party za heshima mwanaume tunamwita 'first born' yaani tayari una mtoto mkubwa wa kumlea vizuri kabla hamjajaaliwa kupata watoto kwenye ndoa yenu.
hivyo inabidi tujue jins iya kuwatreat hao mafirst born wetu kimapendo na heshima.
Mwanaume akikuudhi kama nilihifadhi(save) jina lake kwenye simu yangu 'Darling' nabadilisha nakuandika jina lake halali let say 'Meijer McBride'