GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa hiyo unataka kusema nini?Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi.
1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa sana.
2. Ingekuwa na watumiaji wengi toka sehemu mbalimbali duniani zaidi ya ilivyo sasa.
3. Lingekuwa na members wengi zaidi ya ilivyo sasa.
Ingawa ingeweza kuwa na faida nyingi kwa JF kama taasisi, lakini sipendekezi wabadilishe uwe mtandao wa English. Kama walivyoinesha uzalendo tokea mwanzo, waendelee nao hata sasa.
Pongezi kwao kwa kuweka mbele maslahi ya Watanzania wengi badala ya fedha.
Ningekuwa nashusha kizunguu humu jukwaani hadi watu wafikirie kuwa mimi ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya whitehouse Marekani.Lucas Mwashambwa hasingekua anashusha nyuzi jf
🤣🤣🤣Ningekuwa nashusha kizunguu humu jukwaani hadi watu wafikirie kuwa mimi ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya whitehouse Marekani.
Lakini "kizunguu" ndio nini. Hii ni mara ya pili Lucas anazungumzia lugha hiyo.Ningekuwa nashusha kizunguu humu jukwaani hadi watu wafikirie kuwa mimi ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya whitehouse Marekani.
Ungehamia kwangu ili niwe nakutafsiria.akutukanae hakuchagulii tusi,,haya sisi la tatu D tungekua wapi sasa
kama ni ivo basi napendekeza hilo swala lianze sasa hivi.Ungehamia kwangu ili niwe nakutafsiria.
Unaweza tu kutangulia kuja ili tusubiri kwa pamoja mpaka hilo swala litakapoanza.kama ni ivo basi napendekeza hilo swala lianze sasa hivi.
Mwanangu,hebu kuanzia sasa wabadilishie gia angani anza kuwashushia kwa kimomboNingekuwa nashusha kizunguu humu jukwaani hadi watu wafikirie kuwa mimi ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya whitehouse Marekani.