Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi.

1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa ndogo sana.

2. Ingekuwa na watumiaji wengi toka sehemu mbalimbali duniani zaidi ya ilivyo sasa.

3. Lingekuwa na members wengi zaidi ya ilivyo sasa.

Ingawa ingeweza kuwa na faida nyingi kwa JF kama taasisi, lakini sipendekezi wabadilishe uwe mtandao wa English. Kama walivyoinesha uzalendo tokea mwanzo, waendelee nao hata sasa.

Pongezi kwao kwa kuweka mbele maslahi ya Watanzania wengi badala ya fedha.
Wa kwanza "kuleft" (to leave the platform) atakuwa johnthebaptist 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Ni Kweli mimi siyo Mtumwa 😂😂

Mwenyekiti wako kakimbilia tena Dubai mwambie Sabaya anamzoom 🐼
Sweden huwezi ku graduate University ??? (sikumbuki ni level gani) kama umeshindwa kiingereza, nao ni watumwa?

Sabaya anaweza kurudi lkn safari hii "atakufa"
 
Sweden huwezi ku graduate University ??? (sikumbuki ni level gani) kama umeshindwa kiingereza, nao ni watumwa?

Sabaya anaweza kurudi lkn safari hii "atakufa"
Huo ni utumwa wa Lugha bwashee

Mbona Wewe unaongea kimachame na Tindo anaongea kirombo na wote mna maisha mazuri tu hapo Chadema 😀😀
 
Huo ni utumwa wa Lugha bwashee

Mbona Wewe unaongea kimachame na Tindo anaongea kirombo na wote mna maisha mazuri tu hapo Chadema 😀😀
International Language ni utumwa? Toyota Vx mbona ni bora kuliko IST? VX Ina qualities a kimataifa.. Kiingereza hivyo hivyo. Sema tukijenge Kiswahili kifikie International level!@
 
International Language ni utumwa? Toyota Vx mbona ni bora kuliko IST? VX Ina qualities a kimataifa.. Kiingereza hivyo hivyo. Sema tukijenge Kiswahili kifikie International level!@
Kiswahili Kiko International kitambo pale SOAS UK wanafundisha kiswahili zaidi ya Miaka 40 sasa 😀
 
I think, it could be useful for JF as an institution, but it would not be useful for many Tanzanians.

1. Many East Africans: Kenyans, Ugandans, Rwandans, etc., could join JF. And Tanzanians would be there too but the number would be very small.

2. It would have more users from different parts of the world than it is now.

3. It would have more members than it is now.

Although it could have many benefits for JF as an institution, but I do not recommend that they change it to an English network. As they promoted patriotism from the beginning, let them continue with it even now.

Kudos to them for putting forward the interests of many Tanzanians instead of money. Source : google translator

Ingependeza sana
 
Back
Top Bottom