Ingekuwaje kama tungekuwa tunaisha utamu?

Lile shangingi lako ulosema linakupagawisha ndo lingekuwa limeisha hadi kuwa testless
 
wale si wana tundu saba! ikiisha utamu tundu moja hamia kwenye tundu nyengine.Nalog off
 
mhm@ imbombo ngafu no comment
 

Nadhani kunawatu wangekuwa na ladha ya TANGO
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi, naona wivu njenje kama chupi ya kahaba.
Pole sana, naona umesha miss vitu adimu ambavyo kamwe chama hawezi kukupa
Bujibuji
swahiba wangu naona unahangaika na dunia; jua lilivyokupiga utakuwa na utamu gani wa kushtua roho? Mamndenyi anapata tamu asilia yenye uhasilia asilimia 100%; Mamndenyi hali tamu ya vidagaa ya kuokoteza coco beach!
 
Last edited by a moderator:
sosoliso
Mpende mmoja tu uone kama hutapendwa tatizo lenu kila kona mna vimada; Mnahangaika mitaani mpaka mkirudi nyumbani mnatoa makapi sasa mtapendwa vipi?

Sasa chama kila apitae yuko bomba.. halafu wako wengi kuliko sie wanaume.. Hilo ndilo tatizo.. Mie sio mshika dini.. Umeona hilo..?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…