Ingekuwaje laiti tungeishi katika ulimwengu ambao hatuogopi kujajiwa au kuhumiwa

Ingekuwaje laiti tungeishi katika ulimwengu ambao hatuogopi kujajiwa au kuhumiwa

Hao walioona labda raba inaendana na jinsi au kadeti ni maono yao na mapenzi yao lkn mapenzi yao yasinifanye mimi nishindwe kuvaa vile ninavyopenda maadam tu sivunji tamaduni na mila zetu
Hahahahaaaaah labda huko kuvaa raba na jinsi ni sehemu ya hizo 'tamaduni na mila zetu' 🥴?
 
Una hoja usikilizwe... Fikiria ungekua na dunia yako na copy zako kadhaa ingekuwaje?

Kwa mfano mkeo au mumeo angekuwa copyright ya akili yako na mawazo yako nini hatma ya maisha yenu hapa duniani?

natamani ingekua hivyo kwakweli... Cc Mahondaw
Hapo lengo lingekuwa halijatimia maana tusingeweza kujifunza kupenda mtu mwingine na ndio kusudi la 'ndoa' kufanya jitihada za pamoja za kuwapenda wengine ambao sio sisi. Kutoka ubinafsi hadi 'altruism'.

Kumpenda mke/mume/mtoto na wengineo ambao sio sisi wenyewe binafsi.

Mwanadamu akiweza kufaulu jambo hilo ndio ana'qualify' kuwa sehemu ya jamii ya mbinguni/peponi. Naam waislamu walipatiaga sana pale waliposema: 'ndoa ni nusu ya dini'
 
Back
Top Bottom