GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ninakumbuka jinsi hiyo habari ilivyopa vya vyombo vya habari mwaka 2018.
Peter Zakaria, mfanyabiashara wa mabasi na vituo vya mafuta, akiwa kwenye moja ya Sheli zake, alivamiwa na watu waliokuwa kufahamika baadaye kuwa ni Afisa Usalama wa Taifa na kujaribu kumtekae
Hao "watekaji" walijihami kwanza kwa kumpokonya bastola, lakini jambo ambalo hawakulijua ni kuwa Zakaria alikuwa na bastola nyingine. Katika harakati za kujitetea, aliitumia hiyo bastola, na kwa kiasi fulani, ilimasiaida watekaji wasiweze kumpaleka kusikojulikana.
Baadaye Polisi walipofika, walimchukua Zakaria na kumpeleka kituo cha Polisi, huku maofisa waliojeruhiwa wakipelekwa hospitalini.
Lengo la jaribio la kumteka lilikuwa ni nini?
Ingekuwaje kama hao watekaji wangefanikiwa kuondoka naye bila kufahamika kuwa ni Maafisa Usalama wa Taifa?