Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaw ungetajwa tajwa sana pili angefia hapo hapo maana madaktar wa timu huku ni mashabiki wangemuweka bsrafu kichwan maana wangehis kafanya kusud ambalance ingekuja baada ya 5 hours mech kuishahivi ingekuaje hili tukio lakuanguka ghafla kwa mchezaji wa Denmark, lingetokea kwenye mechi ya simba na yanga?
Na hiyo ambulance ingekutana na foreni ya kufa mtu pale kigogo....dereva akiitafuta muhimbiliUchaw ungetajwa tajwa sana pili angefia hapo hapo maana madaktar wa timu huku ni mashabiki wangemuweka bsrafu kichwan maana wangehis kafanya kusud ambalance ingekuja baada ya 5 hours mech kuisha