Ingekuwaje tukio la mchezaji wa Denmak lingetokea kwenye mechi ya Simba na Yanga?

Ingekuwaje tukio la mchezaji wa Denmak lingetokea kwenye mechi ya Simba na Yanga?

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Hivi ingekuaje hili tukio lakuanguka ghafla kwa mchezaji wa Denmark, lingetokea kwenye mechi ya simba na yanga?
 
hivi ingekuaje hili tukio lakuanguka ghafla kwa mchezaji wa Denmark, lingetokea kwenye mechi ya simba na yanga?
Uchaw ungetajwa tajwa sana pili angefia hapo hapo maana madaktar wa timu huku ni mashabiki wangemuweka bsrafu kichwan maana wangehis kafanya kusud ambalance ingekuja baada ya 5 hours mech kuisha
 
Uchaw ungetajwa tajwa sana pili angefia hapo hapo maana madaktar wa timu huku ni mashabiki wangemuweka bsrafu kichwan maana wangehis kafanya kusud ambalance ingekuja baada ya 5 hours mech kuisha
Na hiyo ambulance ingekutana na foreni ya kufa mtu pale kigogo....dereva akiitafuta muhimbili
 
Back
Top Bottom