ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa mfano assume labda tungekuwaga tukifika umri wa kuanza kazi unachagua fani moja tu Unayotaka na fani zote mishahara yake ndo ileile tufanye hata million nne kwa mwezi na hakuna cha posho wala nyongeza ni wewe tu kuchagua chaguo lako na moja Kwa moja unapelekwa kituo cha kazi kuanza kazi utakayoifanya.
Binafsi mimi ningechagua kukaa jikoni katika hotel moja kubwa na kazi yangu iwe ni kuwakatia viungo jikoni yaani cheo kiwe mtaalam wa kukatakata Nyanya, vitunguu, carrots, bamia, hoho, biringanya, matunda na mboga za majani. Sijui kachumbari imeagizwa huko mimi ndo in charge wake. Huko ndiko passion yangu ilipo niwe tu mkweli.