Ingelikuwa mishahara ya kazi zote inafanana ungechagua kazi gani?

Ingelikuwa mishahara ya kazi zote inafanana ungechagua kazi gani?

vzr sana ila mkuu naiman ni kazi ambayo pia unachoka wakati mwingine kitu unaweza kuwa una interest nacho kama hukifanyi ila ukianza kukifanya ukakiozea unaona cha kawaida. Sasa angalia IT isije kuwa inakuumiza macho hio computer mwanga wake.. Sorry mkuu na je Kwa upande wa kazi za kufanya outdoor yaani site huko sio desk work ungetaman ufanye ipi?
Za nje napenda za usafirishaji wa bidhaa na watu kama bandarini , airport na usafiri wa reli.
 
Back
Top Bottom