ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mkuu kumbuka mshahara ndo huohuo tu mmoja kwa kazi zotewengi tungekuwa ccm
Mkuu ukahaba wa kiume ni kazi au tabia.. Elewa maana ya kazi.. Kazi RASMI.Ningekuwa kahaba la kiume kushughulia mishangazi.
ila zile posho na kutukana au kusifia lazime ungepataMkuu kumbuka mshahara ndo huohuo tu mmoja kwa kazi zote
Kuna watu wanaishi kwa ukahaba kama kazi, shauri yako sasa.Mkuu ukahaba wa kiume ni kazi au tabia.. Elewa maana ya kazi.. Kazi RASMI.
lakini ikumbukwe mshahara ndo huohuo mmoja halafu tutoke kwenye hivyi vyeo vya kisiasa nipe option kwenye fani kama fani... Usanii, uchoraji, uinjinia, uvuvi, kuongoza watalii, dereva n. K0. Rais
1. Wizara ya madini
2. Wizara ya maliasili.
3.Boss wa TISS
lakini ikumbukwe mshahara ndo huohuo mmoja halafu tutoke kwenye hivyi vyeo vya kisiasa nipe option kwenye fani kama fani... Usanii, uchoraji, uinjinia, uvuvi, kuongoza watalii, dereva n. K0. Rais
1. Wizara ya madini
2. Wizara ya maliasili.
3.Boss wa TISS
Unawaibia vipi wakati nishakwambia assume hakuna ubadhirifu wala mianya ya rushwa na mshahara ndo huohuo mmojaNingekua waziri niwaibie wananch
MGAMBO WA JIJI.Kwa mfano assume labda tungekuwaga tukifika umri wa kuanza kazi unachagua fani moja tu Unayotaka na fani zote mishahara yake ndo ileile tufanye hata million nne kwa mwezi na hakuna cha posho wala nyongeza ni wewe tu kuchagua chaguo lako na moja Kwa moja unapelekwa kituo cha kazi kuanza kazi utakayoifanya.
Binafsi mimi ningechagua kukaa jikoni katika hotel moja kubwa na kazi yangu iwe ni kuwakatia viungo jikoni yaani cheo kiwe mtaalam wa kukatakata Nyanya, vitunguu, carrots, bamia, hoho, biringanya, matunda na mboga za majani. Sijui kachumbari imeagizwa huko mimi ndo in charge wake. Huko ndiko passion yangu ilipo niwe tu mkweli.
View attachment 3046067View attachment 3046069View attachment 3046068View attachment 3046071
vzr sana ila mkuu naiman ni kazi ambayo pia unachoka wakati mwingine kitu unaweza kuwa una interest nacho kama hukifanyi ila ukianza kukifanya ukakiozea unaona cha kawaida. Sasa angalia IT isije kuwa inakuumiza macho hio computer mwanga wake.. Sorry mkuu na je Kwa upande wa kazi za kufanya outdoor yaani site huko sio desk work ungetaman ufanye ipi?kada za IT