vzr sana ila mkuu naiman ni kazi ambayo pia unachoka wakati mwingine kitu unaweza kuwa una interest nacho kama hukifanyi ila ukianza kukifanya ukakiozea unaona cha kawaida. Sasa angalia IT isije kuwa inakuumiza macho hio computer mwanga wake.. Sorry mkuu na je Kwa upande wa kazi za kufanya outdoor yaani site huko sio desk work ungetaman ufanye ipi?