Wifi malezi yanachangia sana. . . Huwezi kulelewa katika mazingira ya kujitegemea alafu ukubwani ukaja kuwa tegemezi.Na kweli tunaendekeza wenyewe. Kuna mtu akipata mteremko (nimeona hata wanaume na ndugu zao wanategemea mwanamke). Unajiskiaje kurudi nyumbani ndugu zako wamejaa wanagombea remote? Wababa wazimaa. Na wamama watarajiwa? Nadhani malezi yanachangia!
Aiyaaaa.......Mwanangu, mimi sikutaka usome hii maneno, siku nyingine uwe unaniuliza kabla ya kufungua................LOL
Unategemea wanawake wafunguke hapa?Umekosea,hata ukikutana na mwanamke anaefanya hako ka mchezo hawezi kukuambia kweli,atakaa kimya,hata ukimwambia"nataka na huku"atagoma,ukilazimisha atakubali,lakini wakati wa tendo utashangaa njia haina nyasi,ikimaanisha watu walishapita zamani!
Wewe ulishawahi kushiriki hiyo tigo ya mwenzio ukakuta ipo hivyo??
Na kweli tunaendekeza wenyewe. Kuna mtu akipata mteremko (nimeona hata wanaume na ndugu zao wanategemea mwanamke). Unajiskiaje kurudi nyumbani ndugu zako wamejaa wanagombea remote? Wababa wazimaa. Na wamama watarajiwa? Nadhani malezi yanachangia!
Kwa hiyo tukubali kuwa kuna uwezekano asilimia 75 ya wanawake wakakubaliana na jambo hilo kimya kimya!.................................. 'Kwani nani atajua?'
Dear,sijawahi,ila kuna ushaidi wa kuona,kuambiwa na wa kushiriki,naamini wote tulioko kwenye huu mjadala tupo kwenye moja ya makundi hayo hapo!Otherwise huu mjadala usingekuwepo!
Kusema ukweli ukishakubali kuwa tegemezi umekubali mengi tu bila kujua.the moment unakubali kumtwisha mzigo wa kuwasaidia ndugu zako mwanaume/mke ambaye hamna mkataba rasmi unajiexpose kwenye utegemezi, abuse and the alike.
za siku Husn?Huyo mwanaume atakuwa hanipendi labda kama atakuwa ameona vidalili vya mimi kuutaka huo mchezo. Ukiwa tegemezi halafu ukakosa msimamo utafanyiwa mambo mengi ya kukera. Wadada waepuke hapo. Kuna mdada wa chuo alibwagwa na njemba yake, hapo hapo akazimia ikabidi awahishwe hospitali, bro wangu akaongea nae kulikoni? Yule dada akamwambia ukweli bro kwamba anamtegemea jamaa kwa kila kitu na pale alipo anadaiwa ada ya chuo na pocket money imeisha. Kitendo cha kuachwa inamaana maisha yake yote yamevurugika maana hatopata hizo huduma. Akamwomba bro afanye juu chini amuombee msamaha warudiane.
Huyo mwanaume atakuwa hanipendi labda kama atakuwa ameona vidalili vya mimi kuutaka huo mchezo. Ukiwa tegemezi halafu ukakosa msimamo utafanyiwa mambo mengi ya kukera. Wadada waepuke hapo. Kuna mdada wa chuo alibwagwa na njemba yake, hapo hapo akazimia ikabidi awahishwe hospitali, bro wangu akaongea nae kulikoni? Yule dada akamwambia ukweli bro kwamba anamtegemea jamaa kwa kila kitu na pale alipo anadaiwa ada ya chuo na pocket money imeisha. Kitendo cha kuachwa inamaana maisha yake yote yamevurugika maana hatopata hizo huduma. Akamwomba bro afanye juu chini amuombee msamaha warudiane.
Hhmm Mumy what diference does "mkataba rasmi" make when it comes to being tegemezi??Disavantage si zile zile?Au huo mkataba unafanya hizo abuse na nduguzi ziwe stahiki ya mtegemezi?
Hebu tuchukulie kwamba, una mwanaume ambaye hamjaoana, lakini ndiye unayemtegemea kwa kila kitu. Amekuwa akiwasaidia sana ndugu zako ili wafikie malengo yao katika maisha, na anajitahidi sana kukupa karibu kila kitu, unachohitaji katika maisha.
Lakini Mwanaume huyu anaanza mchezo wa kutaka mfanye mapenzi kinyume na maumbile. Anataka jambo hilo kwa njia ambayo anaonesha kabisa kwamba lisipotendeka mtaachana, na huduma zote ulizokuwa ukifaidika nazo wewe na ndugu zako zitakoma. Hebu niambie, kama ni wewe ungefanyaje kwenye hili?
MJ1 with due respect naomba nikuulize,hivi jambo ambalo watu wawili,adults,in their privacy,with mutual consent bila undue pressure,wanaamua kufanya,wanalifurahia na wote kukojoa,sisi wengine linatuhusu nini,hiyo abuse inatoka wapi?Kusema ukweli ukishakubali kuwa tegemezi umekubali mengi tu bila kujua.the moment unakubali kumtwisha mzigo wa kuwasaidia ndugu zako mwanaume/mke ambaye hamna mkataba rasmi unajiexpose kwenye utegemezi, abuse and the alike.
MJ1 with due respect naomba nikuulize,hivi jambo ambalo watu wawili,adults,in their privacy,with mutual consent bila undue pressure,wanaamua kufanya,wanalifurahia na wote kukojoa,sisi wengine linatuhusu nini,hiyo abuse inatoka wapi?
Hapana Lizzy sikumaanisha hivyo, mkataba rasmi kwangu unamaanisha akisaidia ndugu zangu anawajibika kwani naye anahesabiwa kama sehemu ya familia so hata hatowezakuja na sentensi za 'kama hutaki nilipe nilichomgharamia flani' wala nikimgomea naakinilazimisha nina sehemu ya kushtakia. Haipunguzi tegemezi bali inakupa ile haki ya kutegemea/tegemewa.