Hebu tuchukulie kwamba, una mwanaume ambaye hamjaoana, lakini ndiye unayemtegemea kwa kila kitu. Amekuwa akiwasaidia sana ndugu zako ili wafikie malengo yao katika maisha, na anajitahidi sana kukupa karibu kila kitu, unachohitaji katika maisha.
Lakini
Mwanaume huyu anaanza mchezo wa kutaka mfanye mapenzi kinyume na maumbile. Anataka jambo hilo kwa njia ambayo anaonesha kabisa kwamba lisipotendeka mtaachana, na huduma zote ulizokuwa ukifaidika nazo wewe na ndugu zako zitakoma. Hebu niambie, kama ni wewe ungefanyaje kwenye hili?