Antony Abel
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 264
- 142
Poa, japo me nilifanya kama nimekosea nikatuma 200/=Hapana uko wamekula wa magogoni ty
Hahaha.hiyo.inaleta bombadierr ya tatuPoa, japo me nilifanya kama nimekosea nikatuma 200/=
Mi naona jamaa hajui alichokiandika na alowaandikaJamaa anataka umaarufu kupitia hao alio wataja.
KkkkkkkkkkkHahaha.hiyo.inaleta bombadierr ya tatu
Anachuki na wewe ila binafsi nakukubari sana.sijaona akaunti ya sista wetu GENTAMYCINE hupendi kumnunua na yeye?
Yaan ni wengi mnoo hata yako nichumu nibeibike, na wenginesijaona akaunti ya sista wetu GENTAMYCINE hupendi kumnunua na yeye?
yeriko anawasimulia mambo mengine ya YouTube'sMi naona jamaa hajui alichokiandika na alowaandika
Hawo jamaa ni wasaka tonge tu bora hata yeriko nyerere ana kitabu chake cha ujasus
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Asante sana kwa hilo mme wangu yupo vizurhapo uliwataja...umetaja watu ambao awajui chochote na wala thread zao azivutii hata chembe....yaan humu Jf hakuna kama Mshanajr awa wengine niwasakatonge...mshana kwenye dini yuko vizur ..kweny siasa yuko vizur pia kweny mahusiano ninomà ..kwenye uchawi hapo ndo balaaa.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mshana Jr anafaa kuongoza list, akifuatiwa na Yericko Nyerere na ONTARIO , bila kusahau mkuu the bold
Yeriko hakuna kituMi naona jamaa hajui alichokiandika na alowaandika
Hawo jamaa ni wasaka tonge tu bora hata yeriko nyerere ana kitabu chake cha ujasus
Hahaha aiseeMimi ningenunua ya Mshana nichungulie pm za videmuuu vinavyomtongozaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ntaweka wengi bado naongeza
HeheheNasubiri wauza account.