Ingeruhusiwa kununua akaunti ya mtu kama mitandao mingine, kwa upande wangu ningenunua hizi hapa jf,wewe je?

Ingeruhusiwa kununua akaunti ya mtu kama mitandao mingine, kwa upande wangu ningenunua hizi hapa jf,wewe je?

hapo uliwataja...umetaja watu ambao awajui chochote na wala thread zao azivutii hata chembe....yaan humu Jf hakuna kama Mshanajr awa wengine niwasakatonge...mshana kwenye dini yuko vizur ..kweny siasa yuko vizur pia kweny mahusiano ninomà ..kwenye uchawi hapo ndo balaaa.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Asante sana kwa hilo mme wangu yupo vizur
 
Back
Top Bottom