DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Anatafta kiki 2 anaweka majina ya watu wa ccm tu ..yaani elf 7 sijui zitawafikisha wapi?Jamaa anataka umaarufu kupitia hao alio wataja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafta kiki 2 anaweka majina ya watu wa ccm tu ..yaani elf 7 sijui zitawafikisha wapi?Jamaa anataka umaarufu kupitia hao alio wataja.
Nini.mkuu hahaYaani ulicho waza kimenifanya nifikirie kitu tofauti
HahahahYericko na The bold Nyie mnawaonga Geneus ...wale style zao nikwenda YouTube nakuiba speech za wazee wakizamani then wanakuja humu Jf nakujifanya nimajasusi yaan wanatuona sisi washamba. kumbe awajui tunakuwa tunawachola.
wewe ujielewi hii thread niyakinafiki ...tulivyokuponda umeona uedit umuweke mshana Jr .Kuna masuala hufanya mtu muda mwingine anunue akaunt ya mtu kulingana na vigezo vyake tu
1.Jina lilivyo
2. Idadi ya followers
3. Aina threads na comments
4. Attention
5. Uthubutu katika michango ya awali,
Kwa upande wangu ningenunua zifuatazo
1 BAK Ni akaunt yenye kutoogopa jambo na kuchangia akiwa huru kuliko hata Mello mwenyewe,
2. Pascal Mayalla kwakweli uchambuzi wake na predictive comments zake zinafanya usichoke kusoma alichokiandika , ukiwa unamiliki akaunt ya hivi ni vema. Katabiri mpaka ujio wa chuma
3. Miss Natafuta kwenye jukwaa letu pendwa lile anaweka kachumbari fulani nazipenda wallah
4. GuDume gwa mbegu yake huyu napenda kusoma story zake nikiwa na stress, ana Burundi fulani unakufanya ufurahie kama Ile Nilichomoa nikavaa surual nikaweka shati begani nikaondoka, alinitafta mwezi mzima Hahah hataru sana,
5 Shunie , yna12 hawa watoto hawa na avatars zao mhh hatari
6. Demiss roselina john Masweeter hawa bwana wana masilede hatari
7 The Boss Huyu aina ya comments fupi.fupi tu ndo zinafanya akaunt yake kuvutia kila atiapo neno
8. Malcom Lumumba Huyu mtaalamu wa masuala ya Kimataifa, basi akaunti yake ingekuwa inauzwa ningeinunua dau kubwa na kubadili password,
9. ONTARIO mzee wa forex na masuala ya exchange huyu pia Ana unaelewa mambo mengi sana ya Kimataifa na fedha,
10. venchwa Husle zake na watoto wa kifilipino
11. Rebeca 83 huyu naye sijui anaiuza.sh ngapi.maana napenda Ile comments yake ya shenzi wee
12. Nyani Ngabu hahaha anajua kuwachezesha kwata makamanda haha
13 kapeace
14. Mshana Jr mambo ya tunguri
15 Bujibuji haeleweki Ccm au Cuf
Hizi ningezinunua kwa gharama yeyote, wewe je
Ntaweka wengi bado naongezawewe ujielewi hii thread niyakinafiki ...tulivyokuponda umeona uedit umuweke mshana Jr .
KabisaMie...!
1. Yangu
2. Pascal Mayalla - mwana falsafa ninayemkubali ukimwondoa one of my heroes, Frantz Fanon
3. Mshana Jr - napenda kujuzwa na mbinu zake za kichawi na jinsi alivyokubuhu kuwataibulia watu maisha
Anazingua ameedit na kumuweka mshana jrAnatafta kiki 2 anaweka majina ya watu wa ccm tu ..yaani elf 7 sijui zitawafikisha wapi?
pow na Mimi natafta kiki nitokee front ..kwaiyo utaniweka hapo mkuu .Ntaweka wengi bado naongeza
Haya kankuteo kandi okilwa owaipow na Mimi natafta kiki nitokee front ..kwaiyo utaniweka hapo mkuu .
anabid aedit aweke majina yetu sisi ..wazalendo ..alafu awatoe awo wasakatonge.Anazingua ameedit na kumuweka mshana jr
Hahahanabid aedit aweke majina yetu sisi ..wazalendo ..alafu awatoe awo wasakatonge.
Bila shaka mkubwa kwenye ile ya lambilambi ulipiga hela, TUGAWANE.Haya kankuteo kandi okilwa owai
Here you arePeople gon die wishing they get mentioned in here
Kuwa na heshima basi ..wewe kama unataka kiki useme tu akumention daa yaani unajelousy balaaWe mwanaume gani hujikubali...jikubali mkuu ipo siku utakuja kuwaza kuwapa wengine mkeo wamkaze....
Hapana uko wamekula wa magogoni tyBila shaka mkubwa kwenye ile ya lambilambi ulipiga hela, TUGAWANE.
Bila shaka ombi lako linashughulikiwa.anabid aedit aweke majina yetu sisi ..wazalendo ..alafu awatoe awo wasakatonge.