Ingeruhusiwa kununua akaunti ya mtu kama mitandao mingine, kwa upande wangu ningenunua hizi hapa jf,wewe je?

Ingeruhusiwa kununua akaunti ya mtu kama mitandao mingine, kwa upande wangu ningenunua hizi hapa jf,wewe je?

YERICKO NYERERE, THE BOLD, MSHANA JR, PASCHAL MAYALLA
 
Sijaona hapo juu maana hawo jamaa wote uliowataja hawana uwezo wa kujenga hoja bora ungesema hata yericko nyerere, barafu, the bold na mwisho kabisa BEIRA BOY A.K.A LONDON BOY
Wote ni brainless
 
GuDume yes ....mzee wa fox mwizi tu hyo ...
Mjanja mjanja
 
Maaaaaan...wtf trust no body I'd isikuchanganye simama mwenyewe hata wewe unaweza zaidi yao. [emoji23] [emoji95] [emoji379]
 
Back
Top Bottom