Ingeteuliwa siku moja tu ya kufanya mapenzi kwa wiki, duniani kote

Isingeleta maana kwani vidume hiyohiyo once per wik tungekua tunajimiminia bao 7 ! Avarage ingekuaje?
Tungepoteza caloreese kuzidi hizi za mfumo uliopo!
 
Bao 7 ndugu yangu . . . ni kiu tu au hasira yakhe??
Na ikitokea Man U wakawa kwenye mechi, inamaana juma lifuatalo inakuwa 14?
Teh!
 
Tungepoteza calorese kuzidi hizi za mfumo uliopo!
 
Bao 7 ndugu yangu . . . ni kiu tu au hasira yakhe??
Na ikitokea Man U wakawa kwenye mechi, inamaana juma lifuatalo inakuwa 14?
Teh!

Afu mi spendi kuulizwa majibu ujue?
Hiyo 14 si ndiyo jibu! Kwa ulichokiuliza!
Umekuaje?
 
We waona forteen kioja?
Inawezekana tu! Si ni vibee'bee kila baada 2hrs , for 24hrs kunabaki 6hrs za mapun'ziko.
 
leo nimeamka tu wazo la kwanza kichwani kwangu.ndi likawa hilo....je wewe unalionaje wazo langu

Kwanza kabla hujawaza hivyo jipime kwanza saizi ya dushelele yako....usijechekesha raia bureeee!!!
 
Back
Top Bottom