Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi,
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana,
Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani kila kiumbe kinachozaliwa mwishowe hufa,
La of nature inatakiwa ikuongoze katika maisha yako ,
Usiingie na hofu 2025 , fahamu kifo hakizuiliki kama kuzaliwa kusivozuilika,
Iwe miti , migomba , wanyama navyo hufa pia,
Katika mtiririko wa Uzi huu tutajadili dhana ya kifo na umuhimu WA kuacha kizazi Bora,
Siku ukifa watu watakusahau wewe lakini watakumbuka matendo yako kwa jamii milele na milele,
Jina lako litabakia kwenye kumbukumbu za watu kwa jinsi ulivyoishi maisha yako duniani, iwe uliishi vyema au vibaya,
Jiamini na tenda unavyoona ni sahihi kuwatendea wengine ,
Haujui siku wala saa ndio kwa sababu kifo ni fumbo la Imani, na ukumbuke hata wanaokufa hawakupanga kufa na walijitahidi kupigania uhai wao kwa kila namna lakini ndio hivo fumbo la Imani likifika kwako hakuna namna ya kuepuka,
Ingia 2025 kwa kujiamini, panga malengo yako vyema, ishi na jamii yako vyema na watendee haki wanaostahili haki hiyo kwani ukiondoka duniani watakumbuka Yale uliyowatendea.