Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Hii gari iliniumiza kichwa sana nilivyoiona insta.
Kumbe ni Upgraded Prado Box
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ndio maana hatuendelei, mtu anaenda japan kulinunua gari kwa milioni 3 analileta bongo analiuza milioni 10 mpaka 15...hii ni dhuluma kabisa..mleta mada kama na wewe uko hivyo acha..
Shida sio kununua million 3! Shida ni kulilipia ushuru bandarini.

Kama ingekuwa ukinunua gari Japan unalipia bima ya kusafirisha tu ukifika bandarini unawasha gari lako na kuondoka bila kudaiwa ushuru watu wangekuwa wanauza gari zote walizonunua 3M kwa 5M tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…