Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

TOYOTA SPACIO (DNU)

Manufacture Year: 2003
Engine Capacity Cc: 1490
Mileage: 93,000Km+
Engine Code: 1NZ
Fuel: Petrol

Standard Features

2-SRS Airbag
New Tires
Clean Interior
Transmission: Automatic

Asking For: 9.5M

For more details kindly
Text or Call 0713415537
Location: Dar Es Salaam

IMG-20200414-WA0227.jpeg
IMG-20200414-WA0230.jpeg
IMG-20200414-WA0229.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAHITAJI FUSO FIGHTER TIPER NZURI KALI BAJETI YANGU MILION 23 ZINGATI SANA NICHEK WHATSAP 0765652806
 
Wakuu sijawahi kumiliki gari katika maisha yangu ila nimeona hadi kwa 4M unapata ka gari. Mwenye ka ndinga kwa 4M naomba uniuzie.
 
Mwenye Mark X, Brevis au Mark 2 Gx 110 anicheki.
Gari mojawapo kati ya hizo tufanye biashara.
 
Ni vizuri ungeweka pendekezo lako, je unachagua namba, ubora, na pia Budget gako, hizo gari zipo nyingi

Kwangu namba sio issue , naangalia ubora. Bajaet itajulikana baadae.
 
Back
Top Bottom