ingiza basi tena yoteeeeeee mpaka nisema basiiiiiiiii yatoshaaa

kumbe teja ndo kaandika...no wonder!
 
Anywayz . . . mi mzima sana.
Na wanetu wote wazima......
Vip wewe?

Ofcoz nimekumiss sana though wewe unadhani umenimiss zaidi!
Sawa mpenzi...!
Tutaonana nikirudi kutoka hukuuu maporini!
Wasalimie sana watoto wetu...nawapenda nyote Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…