Ingiza hela kwa kutumia Accounts za Social Media

Ingiza hela kwa kutumia Accounts za Social Media

Sina page ila miongoni mwa admins wa page yenye member zaid ya laki
Inaweza fanya kazi ila tutahitaji Admins wengine wajue na kukubali kufanya hii kitu ili kukwepa malumbano baina ya nyie admins.
 
Nilitarajia kuona demo ya hiyo system unayoinadi .
Ipo linked na site ya One Two One Consultant Ltd ila for security reason huto weza fanya lolote bila kuwa invited through your email address na wewe kuregister.
 
Hujanishawishi aisee...kuna mdau kauuliza swali LA.msingi hapo umemtolea nnje...what kind of marketing unafanya ndugu endapo swasli dogo tu hivyo hujajibu?

Then nyie mmetengeneza mfumo..mnauza likesa and followers wa watu kwa kigezo cha kuwap eti point ?? Yani ninyi mkusanye mamilioni then mumpe mtu tupoint tumoja kwa tangazo litakalofika likes 1000 kweli?

Why msifanye mkawa mnashare na watu hayo mamilioni kwa commission Fulani?

Kama mnapata milioni nyie mnampa kulingana na idadi ya viewer ama likes ..anazowapa hao makampuni.
 
Hivi umesoma vizuri kweli au umeamua tu kukurupuka? Umesoma hizo point zinatumia kufanya nini? Kumbuka tangazo moja litakuwa shared na watu wengi wenye social media. Na nimesema kabisa kuwa kulingana na share, likes, comments, retweet unapata points ambazo hizo points ndo utatumia ku redeem rewards ambazo inaweza kuwe pesa taslimu au kitu kingine kulingana na kampuni tunazo zifanyia matangazo. Mfano, Clouds tamasha la fiesta hawatataka kutoa hela, badala yake watatoa tickets za fiesta, kampuni ya bia inaweza amua kutoa hela au kreti la bia, Kampuni ya simu inaweza kutaka kutoa vocha au simu au hata bundle, hayo yote itategea na client.

Zawadi zitakuwa zimeorodheshwa zikionyesha points unazohitaji kuredeem kila zawadi. Wewe utachagua unataka kutumia point zako kuchukua zawadi gani kutoka kwenye list.

Kwa kuwa ni watu weni wanashare, unadhani kuna njia gani nyingine ya kushare hayo mamillioni bila kutumia points? Points ambazo unazipata kulingana na share, likes, comments na tweets ulizopata?

Maana huwezi kusema ugawane haya "mamilioni" sawa kwa sawa wakati wengine wameshare sana kuliko wengine, au wengine post zao zimepata likes na comments nyingi kuliko wengine. Njia rahisi ya kuweza kupima na kumpa mtu haki yake ni kutumia huo mfumo.

Kwa watu wenye pages zenye followers wengi, nimesema nitumie pm jina lapage yako, kiasi cha followers na kupata demo, tuma email yako nikutumie invite ya kuingia kwenye demo uone. Lakini siwezi kuku invite wakati hujakidhi vigezo.
 
SIjaona hivyo system, mkuu. Sijui ipo kwa wapi
Kama nilivyosema, mpaka uwe invited, kama hujakidhi vigezo siwezi kuku invite. Kama unaona umekidhi, tuma email yako, nitajie page yako na idadi ya followers. Tuma namba ya simu kwa maelezo zaidi na process ya kukuhakiki. Maana kuna watu wana tuma page zisizo zao.
 
SIjaona hata chochote zaid ya seo, consultancy and web development. Hiyo system ipo kwa wapi paka niwe invited? Onesha demo watu waone, unavyosema tuma email yako na jina la page, unataka ku hack page? Kuna ukakasi kwenye hiyo kazi yako.
 
Ata unapoenda kwa investors lazima uwe na prototype ya system yako, unavyo enda na picha bila kuonesha how its work huwezi pata mtu. Kingine wengi watakuona TP kama huna product ni bora ukaushe kuliko maneno mengi bila vitendo. Developers hawaga maneno mengi au wewe ni marketia.
 
Ndugu, tufanye hivi, kama wewe unawasiwasi siyo lazima, baki na page yako. Mimi naendelea kupata nyingine na mambo yanasonga.
Nafahamu kila kitu kigeni kila mtu anakuwa na mashaka yake. Email yako si ina password yako? sasa unadhani na hack vipi page yako. Pia email unayotuma, siyo lazima iwe ndo hiyo unayoitumia facebook au kwenye page zako, email yoyote yako ambayo utapokea invite ya kujiunga kwenye system. Siyo system ya kusema unaweza kwenda tu na ku register hapana.

sioni sababu ya kumwonyesha demo mtu ambaye hana page iliyo kidhi vigezo, then tuanze kutumia masaa kujibu maswali. Walio kidhi vigizo watapokea invite ya demo, wataingia na kuona mfumo unafanyaje kazi, hutohitaji hata kuonganisha hizo page zako za facebook, tweeter au linkedin na email inaweza isiwe unayotumia kwenye hizo page. Kinachotakiwa ni uwawiki kuwa tuna provide access na allocate resource kwa watu walio kidhi vigezo.

Ni sawa kutangaza nafasi ya kazi na kusema wote watume maombi wakati unahitaji watu wenye masters degree na wenye 5+ years experience pekee. Ni bora kuweka vigezo mapema ili upokee maombi ya waliokidhi vigizo na kupunguza muda wakupitia maombi yasiyo na vigezo.
 
Ata unapoenda kwa investors lazima uwe na prototype ya system yako, unavyo enda na picha bila kuonesha how its work huwezi pata mtu. Kingine wengi watakuona TP kama huna product ni bora ukaushe kuliko maneno mengi bila vitendo. Developers hawaga maneno mengi au wewe ni marketia.
Yes upo sawa, lakini kumbuka kulingana na product hao investor wewe ndo unawachagua ili kuwa demo, hii siyo bidhaa inayo hitaji kila mtu, No, inahitaji specific kind of people walio kidhi vigezo flani. Kwa hiyo nafanya mchujo mapema.
 
Binafsi nina groups mbili moja ina watu 1.5M nyingine 80K.
 
Mzee usipokuwa calm hapa utatumia nguvu nyingi bila sababu..umeleta jambo mezani kubali kuulizwa maswali na uyajibu ipasavyo..ukiweka hasira utapata wacheche mno na lengo lako halitatimia...umesema juu hapo kuwa hutaweza kuyagawa hayo mamilioni mtayaoyapata kulingangana na mtu atavyoshare hao wadhamini wenu..ila kwa ushauri ni vyema mkatengeneza mfumo huo wa kuruhusu mtu kupata pesa kuliko hizo point ambazo kimsingi bado hazina maana ya moja kwa moja na hazivutiii...

Mngeweka kiwango cha mtu atakayepata likes 10000 kwa tangazo labda atalipwa USD 1... Nk ili kutoa wigo mpana wa watu kujikita kwenye hiyo kazi..coz ukisema twende kwa mpango wa point utajikuta mtu kawasaidia tangazo lenu limefika viewers 100k akambulia point 10 ambazo hazimsaidii kuredeem chochote kile...maana am sure mtakuwa mmeseti mtu anaweza kuvuna point zake zikifika labda 20k nakuendela..
 
Kwa wale walio PM email zao, invites za demo zimesha tumwa. Ingia angalia na unaweza niuliza maswali au kutoa ushauri.
 
Back
Top Bottom