ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,939
- Thread starter
-
- #21
Kampuni ni One Two One Consultant Ltd (www.one2oneconsultant.com) tumetengeneza na kuisimamia miradi mingine kama www.ajiras.com (Freelancing Platform), www.finder.co.tz (A Business Directory) to be launched soon www.chimbo.co.tz (Kuuza na kununua mtandaoni ikiwemo kwa mnada) na www.kaziportal.com (Sehemu ya kutangaza na kuapply nafasi za kazi Afrika).Naomba website yenu tafadhali.
Inaweza fanya kazi ila tutahitaji Admins wengine wajue na kukubali kufanya hii kitu ili kukwepa malumbano baina ya nyie admins.Sina page ila miongoni mwa admins wa page yenye member zaid ya laki
Kampuni ni One Two One Consultant Ltd (www.one2oneconsultant.com) tumetengeneza na kuisimamia miradi mingine kama www.ajiras.com (Freelancing Platform), www.finder.co.tz (A Business Directory) to be launched soon www.chimbo.co.tz (Kuuza na kununua mtandaoni ikiwemo kwa mnada) na www.kaziportal.com (Sehemu ya kutangaza na kuapply nafasi za kazi Afrika).
Ipo linked na site ya One Two One Consultant Ltd ila for security reason huto weza fanya lolote bila kuwa invited through your email address na wewe kuregister.Nilitarajia kuona demo ya hiyo system unayoinadi .
Ipo linked na site ya One Two One Consultant Ltd ila for security reason huto weza fanya lolote bila kuwa invited through your email address na wewe kuregister.
Hivi umesoma vizuri kweli au umeamua tu kukurupuka? Umesoma hizo point zinatumia kufanya nini? Kumbuka tangazo moja litakuwa shared na watu wengi wenye social media. Na nimesema kabisa kuwa kulingana na share, likes, comments, retweet unapata points ambazo hizo points ndo utatumia ku redeem rewards ambazo inaweza kuwe pesa taslimu au kitu kingine kulingana na kampuni tunazo zifanyia matangazo. Mfano, Clouds tamasha la fiesta hawatataka kutoa hela, badala yake watatoa tickets za fiesta, kampuni ya bia inaweza amua kutoa hela au kreti la bia, Kampuni ya simu inaweza kutaka kutoa vocha au simu au hata bundle, hayo yote itategea na client.Hujanishawishi aisee...kuna mdau kauuliza swali LA.msingi hapo umemtolea nnje...what kind of marketing unafanya ndugu endapo swasli dogo tu hivyo hujajibu?
Then nyie mmetengeneza mfumo..mnauza likesa and followers wa watu kwa kigezo cha kuwap eti point ?? Yani ninyi mkusanye mamilioni then mumpe mtu tupoint tumoja kwa tangazo litakalofika likes 1000 kweli?
Why msifanye mkawa mnashare na watu hayo mamilioni kwa commission Fulani?
Kama mnapata milioni nyie mnampa kulingana na idadi ya viewer ama likes ..anazowapa hao makampuni.
Kama nilivyosema, mpaka uwe invited, kama hujakidhi vigezo siwezi kuku invite. Kama unaona umekidhi, tuma email yako, nitajie page yako na idadi ya followers. Tuma namba ya simu kwa maelezo zaidi na process ya kukuhakiki. Maana kuna watu wana tuma page zisizo zao.SIjaona hivyo system, mkuu. Sijui ipo kwa wapi
Kama nilivyosema, mpaka uwe invited, kama hujakidhi vigezo siwezi kuku invite. Kama unaona umekidhi, tuma email yako, nitajie page yako na idadi ya followers. Tuma namba ya simu kwa maelezo zaidi na process ya kukuhakiki. Maana kuna watu wana tuma page zisizo zao.
Ndugu, tufanye hivi, kama wewe unawasiwasi siyo lazima, baki na page yako. Mimi naendelea kupata nyingine na mambo yanasonga.SIjaona hata chochote zaid ya seo, consultancy and web development. Hiyo system ipo kwa wapi paka niwe invited? Onesha demo watu waone, unavyosema tuma email yako na jina la page, unataka ku hack page? Kuna ukakasi kwenye hiyo kazi yako.
Yes upo sawa, lakini kumbuka kulingana na product hao investor wewe ndo unawachagua ili kuwa demo, hii siyo bidhaa inayo hitaji kila mtu, No, inahitaji specific kind of people walio kidhi vigezo flani. Kwa hiyo nafanya mchujo mapema.Ata unapoenda kwa investors lazima uwe na prototype ya system yako, unavyo enda na picha bila kuonesha how its work huwezi pata mtu. Kingine wengi watakuona TP kama huna product ni bora ukaushe kuliko maneno mengi bila vitendo. Developers hawaga maneno mengi au wewe ni marketia.
Yes upo sawa, lakini kumbuka kulingana na product hao investor wewe ndo unawachagua ili kuwa demo, hii siyo bidhaa inayo hitaji kila mtu, No, inahitaji specific kind of people walio kidhi vigezo flani. Kwa hiyo nafanya mchujo mapema.
We we ndo admin!?Binafsi nina groups mbili moja ina watu 1.5M nyingine 80K.
Yes broWe we ndo admin!?
Yes sirWe we ndo admin!?
ok,nitakuchekiYes sir