Ingiza huyu toa yule! Tp Mazembe wavamia DSM!

Ingiza huyu toa yule! Tp Mazembe wavamia DSM!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Mambo moto moto!
Awali walimtaka "Sure Boy" kabla ya kughairi baada ya Sure boy kuonyesha nia ya Kuongeza kandarasi pale Chamazi! Yale Yale ya Mzee wa Makorokocho!
IMG_20190622_090922.jpeg
 
Tshabalala ni kweli kocha Bamphile Mihayo alionesha Nia , km wanapata ofa nzuri waende tu kucheza
Huyu aende njia ifunguke, nilishangaa eti Kwasi alianza kumuweka bench jamani?

Tshabalala mie namuombea mema, jamaa anajua na ni committed sana. Akipata timu nzuri na kocha atakae mjenga, jamaa yuko vizuri sana.
 
Back
Top Bottom