Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kijana mwenye kidoti nilisikia wanamtaka baadaye nikasikia wameachana naye,shida ilikuwa nini?Aiseeee ila kuna mitanzania mijinga bora uende Congo hata ukifeli utarudi Tz
Exactly.Uku ndio kweny wachezaji wa bei rahis
Ajib walitaka kumpa mkataba wa kinyonyaji hakukubaliana naoYule kijana mwenye kidoti nilisikia wanamtaka baadaye nikasikia wameachana naye,shida ilikuwa nini?
[emoji106]Ajib walitaka kumpa mkataba wa kinyonyaji hakukubaliana nao
Amejipotezea nafasi ya kunyonya.Ajib walitaka kumpa mkataba wa kinyonyaji hakukubaliana nao
Uku kwetu kuna washabiki maandazi wanaponda mwili wake mdogo..Tshabalala ni kweli kocha Bamphile Mihayo alionesha Nia , km wanapata ofa nzuri waende tu kucheza
Mputu,Kalaba ,Meshack Elia ,isama mbn maumbo madogo , muhimu skills na fitnessUku kwetu kuna washabiki maandazi wanaponda mwili wake mdogo..
Huyu aende njia ifunguke, nilishangaa eti Kwasi alianza kumuweka bench jamani?Tshabalala ni kweli kocha Bamphile Mihayo alionesha Nia , km wanapata ofa nzuri waende tu kucheza