Ingiza huyu toa yule! Tp Mazembe wavamia DSM!

Tshabalala ni kweli kocha Bamphile Mihayo alionesha Nia , km wanapata ofa nzuri waende tu kucheza
Huyu aende njia ifunguke, nilishangaa eti Kwasi alianza kumuweka bench jamani?

Tshabalala mie namuombea mema, jamaa anajua na ni committed sana. Akipata timu nzuri na kocha atakae mjenga, jamaa yuko vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…