Ingizo jipya Kwa wanywaji wa pombekali

Ingizo jipya Kwa wanywaji wa pombekali

Very true mshana amesha elezea...Ila huyo jamaa yeye anatumia maziwa kama mixer yake
Kama baadhi hutumia energy drink kuchanganya kwenye pombekali
Dats imenishangaza kutumia maziwa fresh kwenye pombekali

Pombe kali unainywa kidogokidogo, mambo ya ice na ndimu mimi naonaga napoteza ladha kabisa ya tungi, sema wengi hawajui unatakiwa upige funda ndogondogo unameza taratibu wala haulewi, baadae piga maji mengi kuinusuru afya yako
 
Mwisho wa maneno ni usafi lazima usafishe kinywa na dawa nzuri na uwe na mouthwash yako hata listerin kamwe huwezi kunuka mdomo na ukiogea hata detol kamwe ngozi haiwezi kutema hata utoke na jasho
True Kuna watu ukipishana nae hata jasho linanukia pombe...

Kuna jamaa nimewai msikia anasema mchek sura yako ya kilevi...

Kumbe mpk Kuna watu wana sura za kilevi hata wakiwa hawajanywa??
 
True Kuna watu ukipishana nae hata jasho linanukia pombe...

Kuna jamaa nimewai msikia anasema mchek sura yako ya kilevi...

Kumbe mpk Kuna watu wana sura za kilevi hata wakiwa hawajanywa??
Hahahah yeah na hao unakuta ni mtu Kila siku ya mungu anapga tungi tena kuanzia asubuhi ata siku asipokunywa unadhani kanywa tu
 
Pombe kali unainywa kidogokidogo, mambo ya ice na ndimu mimi naonaga napoteza ladha kabisa ya tungi, sema wengi hawajui unatakiwa upige funda ndogondogo unameza taratibu wala haulewi, baadae piga maji mengi kuinusuru afya yako
Hope wengi hukwepa ule uchungu wa pombekali maana sisi wengine tunapenda vinywaji vitamu hata kama ni pombe iwe tamu Kuna Ile tam Tam ipo kama spirite ladha yake...😊😊
 
View attachment 2545998

View attachment 2546000

Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....

Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui dilute pombe kali pia kuondoa harufu...

Kwa mtu yeyote ambae ameshawai kukutana na hiki kitu anaweza kutuelezea

Kweli nimeamini tembea ujionee..

Wasalaam
+267
Pombekali ukichanganya na maziwa yanakatika yakua kama mgando flani
 
Hahahah yeah na hao unakuta ni mtu Kila siku ya mungu anapga tungi tena kuanzia asubuhi ata siku asipokunywa unadhani kanywa tu
Huyo atakua addicted itakua Hadi akiamka asbh lazima awe anatetemeka.....
 
Hope wengi hukwepa ule uchungu wa pombekali maana sisi wengine tunapenda vinywaji vitamu hata kama ni pombe iwe tamu Kuna Ile tam Tam ipo kama spirite ladha yake...[emoji4][emoji4]

Mimi toka zamani natafuna tangawizi mbichi, karafuu, pilipili manga na vitunguu saumu natafuna kwa faida yangu mwenyewe hivo pombe kali naona kawaida tu kwangu
 
Mimi toka zamani natafuna tangawizi mbichi, karafuu, pilipili manga na vitunguu saumu natafuna kwa faida yangu mwenyewe hivo pombe kali naona kawaida tu kwangu
Kuna wadau wana kunywa na wana drive vizuri kabisa Kweli MUNGU ni WA ajab
 
Mkuu ali changanya mbele yangu na maziwa hayakukatika so unaweza pia ku fanya experiment
Maziwa hayakatiki nimeshihudia

Hao unakuta anachukua maziwa fresh yale ya baridi ya Tanga Fresh, Dar fresh au Asas yale ya kwenye packet ndio wanamix wala hayakatiki kabisa, wengine huchanganya hadi na mbege
 
Hao unakuta anachukua maziwa fresh yale ya baridi ya Tanga Fresh, Dar fresh au Asas yale ya kwenye packet ndio wanamix wala hayakatiki kabisa, wengine huchanganya hadi na mbege
Yes, 🙌
Kwenye mbege ni kawaida 😊🤓
 
Kumbe Zina namba na Zina pishana ukali?
Ndio..wataalam wanajua mpaka ladha...kuwa hii ni ladha ya namba flani na hii ni ladha ya namba flan...kuna zingine ukipiga unaanza kulewa hapo hapo yaani fasta tu...kuna zingine ukipiga unaenda kulewea geto
 
Back
Top Bottom