Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #21
Zanzi ni kama vile zile burudani zilikuaga kwenye packeti...Hiyo ipo,mi kuna mwamba alinitengenezea mchanganyiko wa maziwa na pombe kali na juice flani hivi..ikatokea radha ya ile pombe inaitwa Zanz[emoji1745]
Very true mshana amesha elezea...Ila huyo jamaa yeye anatumia maziwa kama mixer yake
Kama baadhi hutumia energy drink kuchanganya kwenye pombekali
Dats imenishangaza kutumia maziwa fresh kwenye pombekali
True Kuna watu ukipishana nae hata jasho linanukia pombe...Mwisho wa maneno ni usafi lazima usafishe kinywa na dawa nzuri na uwe na mouthwash yako hata listerin kamwe huwezi kunuka mdomo na ukiogea hata detol kamwe ngozi haiwezi kutema hata utoke na jasho
Mtoto halali na hela π€π€Na yalivyoadimika na huu ukame
Hahahah yeah na hao unakuta ni mtu Kila siku ya mungu anapga tungi tena kuanzia asubuhi ata siku asipokunywa unadhani kanywa tuTrue Kuna watu ukipishana nae hata jasho linanukia pombe...
Kuna jamaa nimewai msikia anasema mchek sura yako ya kilevi...
Kumbe mpk Kuna watu wana sura za kilevi hata wakiwa hawajanywa??
Hope wengi hukwepa ule uchungu wa pombekali maana sisi wengine tunapenda vinywaji vitamu hata kama ni pombe iwe tamu Kuna Ile tam Tam ipo kama spirite ladha yake...ππPombe kali unainywa kidogokidogo, mambo ya ice na ndimu mimi naonaga napoteza ladha kabisa ya tungi, sema wengi hawajui unatakiwa upige funda ndogondogo unameza taratibu wala haulewi, baadae piga maji mengi kuinusuru afya yako
Pombekali ukichanganya na maziwa yanakatika yakua kama mgando flaniView attachment 2545998
View attachment 2546000
Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....
Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui dilute pombe kali pia kuondoa harufu...
Kwa mtu yeyote ambae ameshawai kukutana na hiki kitu anaweza kutuelezea
Kweli nimeamini tembea ujionee..
Wasalaam
+267
Huyo atakua addicted itakua Hadi akiamka asbh lazima awe anatetemeka.....Hahahah yeah na hao unakuta ni mtu Kila siku ya mungu anapga tungi tena kuanzia asubuhi ata siku asipokunywa unadhani kanywa tu
Hope wengi hukwepa ule uchungu wa pombekali maana sisi wengine tunapenda vinywaji vitamu hata kama ni pombe iwe tamu Kuna Ile tam Tam ipo kama spirite ladha yake...[emoji4][emoji4]
Mkuu ali changanya mbele yangu na maziwa hayakukatika so unaweza pia ku fanya experimentPombekali ukichanganya na maziwa yanakatika yakua kama mgando flani
Kuna wadau wana kunywa na wana drive vizuri kabisa Kweli MUNGU ni WA ajabMimi toka zamani natafuna tangawizi mbichi, karafuu, pilipili manga na vitunguu saumu natafuna kwa faida yangu mwenyewe hivo pombe kali naona kawaida tu kwangu
Mkuu ali changanya mbele yangu na maziwa hayakukatika so unaweza pia ku fanya experiment
Maziwa hayakatiki nimeshihudia
Yes, πHao unakuta anachukua maziwa fresh yale ya baridi ya Tanga Fresh, Dar fresh au Asas yale ya kwenye packet ndio wanamix wala hayakatiki kabisa, wengine huchanganya hadi na mbege
MmmhMkuu ali changanya mbele yangu na maziwa hayakukatika so unaweza pia ku fanya experiment
Maziwa hayakatiki nimeshihudia
Ndio..wataalam wanajua mpaka ladha...kuwa hii ni ladha ya namba flani na hii ni ladha ya namba flan...kuna zingine ukipiga unaanza kulewa hapo hapo yaani fasta tu...kuna zingine ukipiga unaenda kulewea getoKumbe Zina namba na Zina pishana ukali?