Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Baada ya zama za Dani Alves na Marcelo kwisha, Atletico Madrid wamemwibua fullback/wingback bora kabisa kwa sasa ulaya. Sio mwingine ni dogo la kiBrazil Renon Lodi. Ana vitu vyote walivyokuwa navyo Alves na Marcelo.
Dogo anapiga soka la kiwango cha juu sana. Anakaba, anapandisha mashambulizi, anatandika mashuti ya maana langoni, ana assist, kifupi dogo yupo vizuri.
Ndio kwanza ana 21yrs na tayari anaonekana anang'aa. Natarajia kuona makubwa kutoka kwa huyu dogo, akiwa na Rojiblanco na selecao.
Cc.. Zitto jr