Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.

Hesabu ulipata ZIROOOOOWanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
Mkuu nimekusoma. ila ni kweli wakati mwingine inachanganya. Taitzo sisi hatuna system yetu wenyewe ya ku calculate age. Nimeona hiyo ya kichina nayo ukiileta kwetu sijui kama wazazi wa Kitanzania tutaikubali.Age Calculator
This free age calculator computes age in terms of years, months, weeks, days, hours, minutes, and seconds, given a date of birth.www.calculator.net
Age Calculator

Umepata ngapi?Hi hesabu hata ukitumia vidole peke yake unapatia
UFIPA!umesoma shule gani?
Na hao ndio mawakala wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!Hesabu ulipata ZIROOOOO
Oct 1999 - Oct 2000: mwaka 1Wanabodi,