INikihesabu kutoka 14 Oct 1999 hadi 14 Oct 2019 napata miaka 19. Iweje tuadhimishe miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa?

INikihesabu kutoka 14 Oct 1999 hadi 14 Oct 2019 napata miaka 19. Iweje tuadhimishe miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa?

Huyu jamaa kwa Umri wake kama hesabu ya kutoa inamshinda Ni bora Aondoke nchini mwetu.
Hii hesabu hata Mababu na Mabibi wa vijijini wasio gusa darasa wanaijua. Wale wanakupigia Mahesabu ya Vita ya Maji maji, vita ya Mkoloni
 
Wa msoga umeona madhara ya shule zako za Kata?[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Wanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
Itakuwa hujahesabu mwaka 2000, rudia upya kuhesabu ni miaka 20 kamili
 
Back
Top Bottom