Huyu jamaa kwa Umri wake kama hesabu ya kutoa inamshinda Ni bora Aondoke nchini mwetu.
Hii hesabu hata Mababu na Mabibi wa vijijini wasio gusa darasa wanaijua. Wale wanakupigia Mahesabu ya Vita ya Maji maji, vita ya Mkoloni
Wanabodi,
Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019?
R.I.P mpendwa wetu JKN.
Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.