Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
WanakaribishwaNgoja waje kukupa muongozo
Leta vipingamizi
Uganga ni Nini?
Kabila lenye copyright ya hela kwa Tanzania ni Wachagga.
Wachagga wanajua dili zote zenye kulipa. Macho yao yapo busy kuona mti pesa uliko.
Wachagga wengi ni wachungaji na wanafanya kazi za Uinjilishaji.
Nimezunguka Tanzania nzima bara na visiwani, sijaona kibao cha mganga mkali kutoka Uchaggani anapatikana hapa.
Kwanini Wachagga hawataki dili za kiganga?
Uganga haulipi
Milele aminaAmen
Milele aminaAmen
Haha hahah hahah ๐น๐บ๐น๐บ๐น๐บ๐น
Sinikumbushe mzee wa Upako