Injili inalipa kuliko uganga wa kienyeji, waulize Wachagga watakwambia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kabila lenye copyright ya hela kwa Tanzania ni Wachagga.

Wachagga wanajua dili zote zenye kulipa. Macho yao yapo busy kuona mti pesa uliko.
Wachagga wengi ni wachungaji na wanafanya kazi za Uinjilishaji.

Nimezunguka Tanzania nzima bara na visiwani, sijaona kibao cha mganga mkali kutoka Uchaggani anapatikana hapa.
Kwanini Wachagga hawataki dili za kiganga?
Uganga haulipi
 
Amen

Mkuu umenena ukweli, umenifanya nihesabu wachaga wenzangu waliopo mji nilipo Wengi sana wachungaji, Life linakwenda, wanapiga pesa wanafungua biashara , Watoto wanasimamia, Ni mwendo wa pesa .,
Natafuta Mnama mmoja mwakani nafungua kanisa umasaini😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom