johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli.
Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu.
Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima.
Mungu wa mbinguni awabariki!