johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua mleta mada.Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli.
Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu.
Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima.
Mungu wa mbinguni awabariki!
Mungu wa mbinguni akusamehe kwa kuwa hujui usemalo!Unajua mleta mada.
Hata kama ajira yako kwa sasa iko humu kwenye keyboard.kwa malengo maalum ya ufitinishi.lakini sio lazima kila mada uwe mpinzani.
Lakini pia sio kila mada uwe unachangia.
Mada zinazohusu mambo ya itikadi za kiimani ni vema kuziacha pale unapoona uchangiaji wako unaweza kuzua hisia na hata hasira kali kwa baadhi ya wenzako.
Tujaribu kujielewa na tuache kujitoa akili kwa masuala ya kiimani.
Mleta mada kwa hili umeonyesha ujinga wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ikitokea biblia imechanwa unafikiri wakristo watakaa kimya??? Et sababu yale ni makaratasi tuNi swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli.
Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu.
Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima.
Mungu wa mbinguni awabariki!
Mungu wa kweli hawezi kuwa na vitabu viwili kwa watu hao hao aliowaumba yeye. Either both of them are fictitious stories or one of them is a fictitious story book!Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli.